Follow by Email

Friday, July 19, 2013

Mhe. Balozi Mulamula awasilisha Hati za Utambulisho


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Barack Obama, Rais wa Marekani mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho katika Ikulu ya nchi hiyo (The White House) mjini Washington, DC. 

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akijiandaa kwenda kuwasilisha hati za utambulisho kwenye Ikulu ya Marekani (The White House) iliyopo mjini Washington, DC. 

Mhe. Balozi Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na familia yake wakiwemo Mumewe Bw. George Mulamula na watoto wake Bi. Tanya na Bw. Alvin.

Mhe. Balozi Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na familia yake wakiwemo Mumewe Bw. George Mulamula na watoto wake Bi. Tanya na Bw. Alvin.No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.